Maneno: , 1878.

Muziki: .


Msalabani pa Mwokozi,
Naliomba unirehemu,
Aliniondoa dhambini,
Sifa kwa Yesu!

Refrain

Sifa kwa Yesu,
Sifa kwa Yesu, Bwanangu,
Aliniondoa dhambini,
Sifa kwa Yesu.

Chini ya mti naliomba,
Nisamehewe dhambi zangu,
Nalitakasika kwa damu,
Sifa kwa Yesu!

Refrain

Kisima cha kububujika,
Kwangu ni youte na furaha,
Nalitakaswa kisimani,
Sifa kwa Yesu!

Refrain

Karibu nyote kisimani!
Nyweni na roho itashiba,
Kiu yaisha, salamu kuu,
Sifa kwa Yesu!

Refrain